Usichokijua ni kuwa, Bashiir yupo nyuma ya machafuko hayo ndo anafadhili waasiUbaguzi mbaya sana,
Yaani Kwa Bashir kuna amani halafu kwao ndiyo kunanuka tu.
Zamani tuliaminishwa chanzo cha machafuko ni uonezi wa Omar El Bashir lakini kumbe kuna mambo mengi yamejificha.
Africa na dunia ilitegemea baada ya kuwagawa hawa ndugu nchi itakuwa na amani,
haya ubabe ukatumika nchi ikagawanywa, lakini miaka mitano imeishapiata mambo ndiyo yamezidi kuwa mabaya mara mbili.
Kwakweli, sijui mafuta yana laana gani.
Usichokijua ni kuwa, Bashiir yupo nyuma ya machafuko hayo ndo anafadhili waasi
Inawezekana manake mi najiuliza sana kuendesha vita si mchezo hao wanajeshi loyal kwa riek machar wanawezeshwa na nani?Usichokijua ni kuwa, Bashiir yupo nyuma ya machafuko hayo ndo anafadhili waasi
MALCOM LUMUMBA and bigonzo
Huo mchezo unaoendelea hapo Sudan kusini unachezwa chini kwa chini na Sudan kaskazini anauchezesha kwa umakini mkubwa!.
Ila nchi hii ina maajabu,bora hata hao watu wawili wafe tu labda amani itarudi