Usikilize hapa, na kama kivinjari chako kina download helper utaweza kuishusha pasi na shaka.
Lokua Kanza Kuetu Mbali MP3 downloads | www.MyFreeMp3.cc
Thanks much ,ngoja nijarbu kudown load. This is a gift of a year
Wimbo unaitwa KUETU MBALIWadau kuna wimbo huwa --------- kama sound track kwenye kipind cha orijinal comedy ya akina Masanja pale kwenye category ya Ze professeri. Najua kuwa ni wimbo wa Lokua kanza mwanamuziki wa Congo anaeishi Belgium, nahitaji kujua wimbo huo unaitwaje sababu nataka niutaufte mitandaoni. Maana hivi hivi nimeshindwa. Msaada tafadhali kwa anaejua.thanks