Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,161
- 2,668
MmmhhKuna mmoja humu jamvini, nahisi ni Soulmate, maana...
^^
Mmmhh
funguka!!
Kuna mmoja humu jamvini, nahisi ni Soulmate, maana...
^^
Mwe!!!
Usisubiri miaka 70 sasa
Subiri nigoogle maana sijaelewa
Haina haja ya kugoogle its derived frm the word roommate.
Haina haja ya kugoogle its derived frm the word roommate.
Inasemekana hii kitu ina nguvu sana, uwe na mpenzi au siyo, mtu ambaye ni soulmate kwako/wako ni vigumu sana kumtupa.
Moyoni unakuwa na hisia kali mkiwa katika hali ya "SOULMATE" na haichagui umri kabisa...uwe na miaka 70 na mwenzio ana miaka 20 na bado mnaelewana tu fresh, ile ya jinsia tofauti wengi waliokumbwa nalo wanadai ni mtamu sana kupindukia.
SOULMATE INA NGUVU SANA
Ni kweli wenye hali kama hii kwenye jinsia mnaa
si useme tu ni miss chagga.