C cmomwa Member Joined Jun 19, 2016 Posts 55 Reaction score 8 Jun 1, 2019 #1 Mwenye PDF ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano 2019/2020 nayaomba tafadhali
dicloppa JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 278 Reaction score 410 Jun 1, 2019 #2 Huu uzi Kama hawauoni vile
usy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2019 Posts 209 Reaction score 164 Jun 1, 2019 #3 hiv tamisemi hawaoni kama website yao haifunguki au wanafanya makusudi??
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 4,344 Reaction score 4,334 Jun 1, 2019 #4 TAMISEMI MNATIA AIBU Website yenu haifunguki Mara tu Baada ya kuweka majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka 2019 Rekebisheni hii Kitu www.jamiiforums.com Ingia humo mkuu
TAMISEMI MNATIA AIBU Website yenu haifunguki Mara tu Baada ya kuweka majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka 2019 Rekebisheni hii Kitu www.jamiiforums.com Ingia humo mkuu