Huyu mama tangu agombee kile kiti cha wanawake, ndipo alipopoteza sifa ya kuwa waziri wa utawala bora,
Huwezi kuwa waziri wa utawala bora at the same time ni mshabiki wa chama... heri kuwa mwananchama tu lakini mshabiki na kiongozi wa chama... I do not agree.