sofia ni jamvi la vigogo, alikuwa tarishi na baadaye kujiendeleza kwa kupata degree ya chupi ukubwani! hajui mahakama ina fananaje wala hawezi kuandaa mkataba hata wa kuuza panzi!
amshukuru sana KK, ndo alomuweka mgongoni na kumfikisha hapo!
Mtamaliza kila neno kwani asiewajua Chadema kwa vidomodomo na kuchonga kwa sanaaaa bila matendo.
Sema mtavyo sema lakini Yeye ana wasubiri mahakamani na sio kwenye vyombo vya habari kama alivyofanya mnyika na Chadema.
Sisi sote tunasubiri mumjue kuwa Sofi si mchezo hususan katika nyanja ya sheria. Na mtajua alipractice wapi kudadeki.
Nendeni makamakani kama imewauma basi tufaidi uondoooo.
sofia ni mama mwendawazimu, mi nadhani hata watoto wake wanafadhaika sana kuzaliwa na mama MC kama yeye.
Kumbe ni msomi kiasi hicho! mbona anaongea upupu kama mtu ambaye hajaenda shule? Tafadhali usimsingizie mama wa watu. Kwa jinsi anavyotoa matamshi yanayomdhalilisha sikutegemea kama mama amesoma kiasi hicho. Alipowaambia wanawake kuwa wawanyime unyumba waume zao watakaoshabikia upinzani niliishiwa nguvu
habari,
Katika hali ya kustuka au kusasambuka basi Sophia Simba yupo katika wakati mgumu kimaisha hivi sasa... Akiwa anapiga simu kwa kila mtu na kuanza kuweweseka baada ya CHADEMA kumpiga biti kuwa itampiga sero kama akishindwa kusasambua umbea wake kuwa cdm inapewa dogodogo toka majuu... Yeye anaulizia hivi sasa kama sheria ipo ya propaganda za kisiasa zisifunguliwe kesi...
Mama huyu mwenye masters ya ¨sheria¨ anabahatisha mambo ama kwa bahati mbaya au ucheki bobu wake umezidi... Sasa Lissu na Mabere wanataka akanyee debe..Bahati mbaya saaana maana aliongea kwa bahati mbaya sana halafu anasema hakusema hivyo kama CDM walivyotafsiri bali alishangaa tuu na kudai labda hawa wanafadhiliwa lakini hakusema ubalozi wowote unawafadhili..
Masikini Sophia mdomo umekuponza maana jamaa wanataka ukalale sero hata dakika kumi tuu uje utuhadithie shemeji zako wa bagamoyo!!
Nawasilisha
mtamwita majina yooooote mnayotaka,lakini atabaki kuwa Dr Slaa,hafif unatuabisha waislam,mwite mtu anavyostahili,mbona Jk humwiti luten,au makamba humwit mwl,au kwa sababu waislam wenzetu,AKILI ZA KUAZIMA CHANGANYA NA ZAKO,Yeye na Padre Slaa nani mlopokaji?
mwite mtu anavyostahili,mbona Jk humwiti luten?makamba humwit mwl,au kwa sababu waislam wenze2?kwa kaul za ssimba,anadhalilisha uislam,serikali,familia yake,na yeye mwenyewe,HAFIFF,akili za kuazima changanya na zakoYeye na Padre Slaa nani mlopokaji?
Wewe. Huyo mama hiyo Masters ya sheria alisoma wapi ali practice wapi? Unadhani kusoma sheria tu inatosha?
nendeni mahakamani kama iliwauma ili Bi Sofi akawagaragaze na kuwavua nguo huko.