Hizi ndio biashara zetu mtaani, ukiona mwenzio kafungua kibanda cha chips na wewe unafungua upande wa pili wa barabara kibanda chako cha chips. Ulikuwa wapi mpaka mwenzio aseme biashara yake nawe umharibie? Haijakaa sawa mkuu