Isayasitemanager
Member
- Nov 23, 2017
- 47
- 40
Nishachomoa zote na nimerudishia lakini wapi.chomoa output zote kisha zichomoke upya...
NB: Mimi siyo fundi
Huyu amaizing ndio alikuwa anashutumiwa humu kuwa anauza bidhaa bidhaa fekiNakushaur nenda duka ulilonunua au tafuta duka kubwa mfano amaizing lifestyle sinza waombe wakuelekeze ma agent wa vifaa vya sony ila uwe na angalau kaela ka ufundi ukifika uko sony waambie tatizo watakusaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
umekwisha umemuelekeza huyo ulipo??
Sijui labda kwa bidhaa zngne lakn mim nilikua na warant kadi na hometheater yangu ilitrngenezwa bure kabisa kupitia wakala wa lgHuyu amaizing ndio alikuwa anashutumiwa humu kuwa anauza bidhaa bidhaa feki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambazi?umekwisha umemuelekeza huyo ulipo??