Sony experia z mpya inauzwa

Sony experia z mpya inauzwa

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,141
Ni water proof

ni mpya na kila kitu chake
nipo dar,nicheki kwa 0765050591
bei 520000
 
Dah toka mia tano watu wanatangaza mia tatu
 
Jaman muwe na huruma kidogo Xperia Z kwa laki tatu duuu kijana mm napanda kidogo nina laki nne vp
 
Mi nataka lakini niko mbali kidogo( mkoani) kwa mia nne na nusu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom