Sony Bravia 55" Smart Tv for sale

Ukiwa unapost picha post separately, ukipost kwapamoja huku zinakuja kama link na hazifunguki..... Yaani tuma kila picha pekee yake.
 
Mbona unatuonesha picha ya taco la tv mkuu badala ya kutuonesha tv yenyewe? In addition, mpya au used? Na kama used, imetumika kwa muda gani?

ANGALIZO: "Uchumi umeporomoka" By Rais wa JMT
 
Mbona unatuonesha picha ya taco la tv mkuu badala ya kutuonesha tv yenyewe? In addition, mpya au used? Na kama used, imetumika kwa muda gani?

ANGALIZO: "Uchumi umeporomoka" By Rais wa JMT
Ni used imetumika karbia mwaka sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…