Nauza Camera ya Sony Alpha A230 Professional still picture ambayo ni katika moja ya Camera nzuri sana.Camera hii imetumika Uingereza lakini ipo katika hali nzuri sana na ipo Dar es salaam.Camera hii inatumia SD card na Memory stick na inakuja na charger yake pamoja na Battery moja.Bei ni shs 650,000 naomba uwasiliane katika namba hii 0766915299.
Detailed item information
[TD="colspan: 2"]
Product Information
Brand
Sony
[TD="colspan: 2"]
Capture your precious moments with improved clarity and reduced blur with the Sony a DSLR-A230L digital SLR camera. Brimming with features, the a A230 combines high-resolution 10.2-megapixel, simple operation, high sensitivity (ISO 3200), and advanced noise reduction. Plus, Eye-Start Autofocus and pop-up flash help you shoot faster while SteadyShot INSIDE in-camera image stabilization works with virtually every lens. In addition to the on-screen Help Guide and convenient Creative style settings, the a A230L has a bright 2.7" LCD and comes with an 18-55mm standard zoom lens.
[/TD]
[TD="colspan: 2"]
Product Identifiers
[/TD]
[TD="width: 35%"]
Model
[/TD]
[TD="width: 65%"]
A230
[/TD]
Mkuu camera ni bei mbaya nimenunua kwahiyo hailipi mkuu na haipo magomeni ila kuna namba nimeiweka hapo ndio utamkontact atakwambia wapi umkute pengine kinondoni au kariakoo.