Thanks Kwa ushauri ila Mkuu hii device haitumiki nyumbani au kila sehem , ni Kwa ajiri ya watu wa networking tu (IT) au mtu anayehusika na device hizi kama kuuza n.k . Hizo Picha zinaeleza kila kitu mtu wa IT na networking akiona tu anaelewa
Note: Kazi yake kubwa ni security ya computer na data. Inafanya kazi kama filter (chujio) na mambo mengine ya security