Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 260
Songwe kuna shida nakumbuka kuna tukio jingine kama hili lilitokea siku siyo nyingiJeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limemkamata Mkazi wa Ichenjezya Wilayani Mbozi kwa tuhuma za kumbaka Mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 15...
Sipingi mawazo yako Ila nachangia, tu, wapo wenye pesa wanafanya unyama unyamani, aijalishi kuwa na pesa au vipi, Kiligo wa Zanzibar alikuwa na pesa afisa wa tra, Ila ushenzi wake aliokuwa anafanya zenji? Umalaya umalaya tu, Yule dereva wa halmashauri ya kibaa mpaka kazaa na mtoto wake wa kumzaa.Tutafute hela!! Umasikini ni mbaya saana. Just imagine mzee anambakia mtoto wake kazini kwake. Siku hiyo sijui hakwenda lindo?? Akaona haitoshi ngoja ambakie kwake...
Dah!!! Hapa tutasingizia raanaSipingi mawazo yako Ila nachangia, tu, wapo wenye pesa wanafanya unyama unyamani, aijalishi kuwa na pesa au vipi, Kiligo wa Zanzibar alikuwa na pesa afisa wa tra, Ila ushenzi wake aliokuwa anafanya zenji? Umalaya umalaya tu, Yule dereva wa halmashauri ya kibaa mpaka kazaa na mtoto wake wa kumzaa.
du!!!Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limemkamata Mkazi wa Ichenjezya Wilayani Mbozi kwa tuhuma za kumbaka Mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 15.
RPC wa Songwe, Theopista Mallya amesema Baba huyo alitaka kufanya tukio hilo usiku wa manane ambapo aliingia kwenye chumba anacholala Mtoto huyo ndipo Mtoto huyo alipopiga kelele na Mama yake aliposikia na kufika akamkuta Mumewe anatoka chumbani kwa Mtoto wao.
"Baada ya kuingia chumbani Mtoto alimwambia anaumwa lakini yeye akamlazimisha ndipo Mtoto alipiga kelele mpaka Mama yake alipotoka chumbani na kwenda chumba cha Mtoto huyo"
"Baada ya Mtoto huyo kuhojiwa amesema Baba huyo ambaye ni Mlinzi katika moja ya Shule amekuwa akimfanyia kitendo hicho Mtoto huyo mara kwa mara wakati akimpelekea chakula kwenye lindo"
RPC amesema taratibu za kumfikisha Baba huyo kwenye vyombo vya sheria zinaendelea huku akitoa wito kwa Watu wenye tabia za kufanya vitendo hivyo kuacha mara moja.
Chanzo: Millard Ayo
yaani najiuliza,mtoto wako uliyemtoa kiunoni mwako,uume unasimama vipi?Watu nowadays hawana hofu ya Mungu kabisaa
yaani najiuliza,mtoto wako uliyemtoa kiunoni mwako,uume unasimama vipi?
Na pia Kuna wale watu watano waliokosa ndugu zao ikabid wazikweSongwe kuna shida nakumbuka kuna tukio jingine kama hili lilitokea siku siyo nyingi
Sad newsNa pia Kuna wale watu watano waliokosa ndugu zao ikabid wazikwe
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app