N nabiidaniel JF-Expert Member Joined Feb 25, 2014 Posts 2,087 Reaction score 2,844 Mar 4, 2014 #1 Wakuu nasikia wafanyakazi wa halmashauri ya manispaa ya songea, yaani idara zote kama afya, elimu n.k hawajapata salary, chanzo ni kupotea kwa "pay roll", ni kweli, mlioko huko mtujuze...
Wakuu nasikia wafanyakazi wa halmashauri ya manispaa ya songea, yaani idara zote kama afya, elimu n.k hawajapata salary, chanzo ni kupotea kwa "pay roll", ni kweli, mlioko huko mtujuze...
Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,251 Reaction score 2,870 Mar 4, 2014 #2 Mmmmh....cjui mkuu,ila dodoma toka tar 1 mambo safi.
B bategereza JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 3,314 Reaction score 1,072 Mar 4, 2014 #4 Hamfanyi kazi ndio maana Songesonge hakuna maendeleo. mshahara mnataka utoke wapi
M mwitu JF-Expert Member Joined Jun 22, 2012 Posts 856 Reaction score 200 Mar 4, 2014 #5 ni kweli maana kuna mtu jioni nimempiga mzinga kaniambia mshahara bado
D Dova Member Joined Feb 25, 2014 Posts 40 Reaction score 8 Mar 4, 2014 #6 Mnataka mishahara yanini na wakat mnamapoli yakutosha kuzalisha sembe na dona. Tunalipa wamjini nyie mtasubiri sanaaaa Ccm oyeeeeeeee......
Mnataka mishahara yanini na wakat mnamapoli yakutosha kuzalisha sembe na dona. Tunalipa wamjini nyie mtasubiri sanaaaa Ccm oyeeeeeeee......