Songea siku ya pili leo wanafunga maduka kugoma mashine za tra, wananchi wataabika kupata mahitaji muhimu. Tanzania tuhurumieni wafanya biashara wadogo

imbeni kwaya tuu huku wenzenu wakipewa viwanda kupunguza usugu wa ajira. hivi ndivyo mnavyo niuzi mahomeboy wangu! wekeni hata tawi la chama chochote cha upinzani basi .