Somo la general study linatatizo gani?

Bouja

Senior Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
173
Reaction score
127
habari wakuu
mwaka huu najiandaa kuingia kidato cha tano nmekua nikifatilia masomo ya advance notes,papers na hata results za waliotangulia lkn naona somo la GS watu huwa hawafaulu unakuta ata T.O ana A zote ila GS ana S ambayo inamaanisha amepata kati ya 30-39 tatizo n nini hapa wakuu???
 
Ndiyo kiwango cha ufaulu kilichopangwa hicho ila ukizingua una F kama kawaida na ufaulu wake ni kuanzia 25
 
hahahaha G.S hata upige 100 itaandikwa S naona ndo waliweka kiwango cha ufaulu iwe S
 
GS ina viwango viwili tu vya ufaulu/ufeli.

Subsidiary (S) na Failed (F)

Hata upate 99 utaandikiwa S

Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
 
Ndiyo kiwango cha ufaulu kilichopangwa hicho ila ukizingua una F kama kawaida na ufaulu wake ni kuanzia 25
kwahiyo kupata A au B haiwezekan kabisa akat nikiangalia swali moja lina marks 20
 
GS ina viwango viwili tu vya ufaulu/ufeli.
Subsidiary (S) na Failed (F)
Hata upate 99 utaandikiwa S
Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
sasa nimeelewa hawatak likuongezee point kwenye division
 
mwaka 2017 gs ilipewa uzito wa alama (grade) kama masomo mengne lakini haikuwa na impact katika tahasusi (combination) yako
 
mwaka 2017 gs ilipewa uzito wa alama (grade) kama masomo mengne lakini haikuwa na impact katika tahasusi (combination) yako
Hata 2014 pia

Typed Using KIDOLE
 
mwaka 2017 gs ilipewa uzito wa alama (grade) kama masomo mengne lakini haikuwa na impact katika tahasusi (combination) yako
Hata 2014 pia

Typed Using KIDOLE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…