Vijana Jazz au Twanga vipi jamani? Mbona mnakuwa watumwa wa kupenda vya nje wakati bongo tuna nyimbo nzuri zaidi ya hizi? Bar Maid - Vijana Jazz. Ukubwa Jiwe - Twanga. Penzi Kizungumkuti - Msondo. Jinamizi La Talaka - SIkinde. Mwanameka, Mayasa, Zuwena - Marijani Rajabu.