Inawezekana ni kweli, Niko na documentary zilizorecodiwa na aljazeera miasha ya alshabab no pirates of somalia wakiwa kwenye maisha ya kawaida ni watu wazuri sana na hata sio wafuata dini kama inavyodhaniwa, yule jamaa anaeitwa big mouth aliyeteka meli zaudi ya 18 ukisikia mahojiano take he is so kind, mitungi ganja kama kawaida