Soma hii Live Chat mimi na mwanamke ninayemtaka ofisi moja, toeni maoni wazee

Sea Beast

JF-Expert Member
Aug 5, 2022
1,979
4,253
Wadau huyu manzi nafanyanae kazi ofisi moja kama kawaida nikamuanzishia mission target yangu niwenae ni settle ikiwezekana kuoa hapo baadae.

Nimemfanyia attempt kama mara mbili ajaeleweka kwasababu tumekua na ukaribu I like simplest things nikaanzisha haka ka live chart wote tukiwa tumekaa sehemu moja ofisini, hii ni account yangu ya WhatsApp naandika yeye anajibu, kwamajibu haya wazee toeni maoni basi

Kwavyote nilivyoandika nilikua namaanisha hapo.

 
Sea Beast ushauri wangu ni kwamba ukimtongoza demu usiwe unaingia na gia ya kumuoa wewe toa hisia zako kwake mambo mengine yatajulikana kulingana mahusiano yatavyokuwa. La pili usimtongoze demu kwenye simu au kupitia message ni kosa kubwa mno. La tatu kabla ujamtongoza demu muhimu kusoma kwanza mood yake kwanza.
 
Mzee sio namtongoza Hapo nilishamtongoza kabla sio kwa sms kachomoa na wala sijagusia ndoa, mbona nimesema Hapo juu.
 
Unatumia WhatsApp gani mazee?. Kwasababu Sioni yeye akijibu hapo na sioni zile tiki mbili hapo kwamba ujumbe umepokelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…