Solar inauzwa arusha.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,521
Reaction score
14,000
Solar ya kuchemsha maji inauzwa jijini Arusha,iko kwenye hali nzuri sana.ukihitaji maelezo zaidi piga tourismtanzania@yahoo.com Bei ni karibu na bure.!
 

Attachments

  • 003.JPG
    56.2 KB · Views: 97
  • 004.JPG
    70.1 KB · Views: 97
Namba kujua ukubwa wa Watts na made in wap

Hizi hazigenerate umeme, hizi ni heat absorber panel, zina vibomba vya maji vinapita kwenye hizo panel tu, na kustore kwenye hako ka-tank juu!

Weka bei tujikune kama mkono utafika!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…