Kwanini nchi nyingi Za Africa serikali zake hazi wekezi kwenye umeme wa jua solar energy na badala yake hutegemea umeme wa mabwawa.....watu na makampuni binafsi ndo yame wekeza uko.

Swali zuri sana. Fikiria tunatumia umeme wa mafuta (machafu) toka uarabuni..., rasilimali ya wenzetu inayoagizwa kwa dolari nyingi ilhali jua linatuunguza ila maarifa ya kulitumia kama chanzo cha nishati ni duni sana. Ni aibu kwa kweli!