torobiz Member Joined Jun 17, 2014 Posts 73 Reaction score 44 Jun 30, 2017 #1 habari wanajamvi... samahani kwa yeyote mwenye uzoefu na soko la Tangawizi naomba anisaidie maelezo au kama ni muhitaji Wa Tangawizi pia tuwasiliane hapa au niPM
habari wanajamvi... samahani kwa yeyote mwenye uzoefu na soko la Tangawizi naomba anisaidie maelezo au kama ni muhitaji Wa Tangawizi pia tuwasiliane hapa au niPM
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Jun 30, 2017 #2 Mimi nimeona zinauzwa kariakoo mkuu. Unaweza peleka huko