M Mangerero Member Joined Sep 29, 2016 Posts 7 Reaction score 4 Dec 28, 2018 #1 Habari za mchana wana jf Nipo Singida mjn natafuta soko la mifupa ya wanyama kuna wakati nilisikia arusha wananunua sana kwa ajili ya kutengeneza vyombo km sahani .kwa yeyote anayefahamu mahali penye soko tujulishane hapa jukwani. Asante Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za mchana wana jf Nipo Singida mjn natafuta soko la mifupa ya wanyama kuna wakati nilisikia arusha wananunua sana kwa ajili ya kutengeneza vyombo km sahani .kwa yeyote anayefahamu mahali penye soko tujulishane hapa jukwani. Asante Sent using Jamii Forums mobile app