Ishu ipo kwenye faida mkuu
Kukodi Container ni dollar 4000 ambayo ni milioni tisa bado gharama za Magari ya kupeleka na kuchukua Bandarini halafu Containers zinachukua tani hazizidi 28 at the end unakuta gharama zilizoongezeka kwa kila kilo ni Sh 600@ kilo huo usafiri tu bado Tariffs,ushuru etc