DSE iko very influenced by political leaders ingawa masoko mengi kama NSE, BSE, JSE LSE yako pia lakini hili la kwetu mmm linafluctuate kadri serikali inavyotaka. Ushindani sawa wa kibiashara haupo, hapa ni kucheza na siasa pia. Ukisikia mkuu anawapa shavu kampuni fulani wewe lala mbele huko huko.