Au Champions League ina hadhi ya juu zaidi ya world cup?Blatter kaingiza Politics zaidi kwenye kipindi cha utawala wake,kuliko Havelange.Hii tuzo inapoteza maana,hasa kwa kuwa nafasi ya Kipa haina maana kwa mujibu wa Blatter,Hata David Luiz,na goli la Rodriguez kuzidi la RVP,namuachia Blatter,ila sijui kama lile bao la Van Persie litakuja kuonekana tena,ila hilo jingine lina fungaa kila kukicha