Je, ni software gani ya ku-edit audio, yaani uweze kuondoa voice ubaki na instrument pekee,uweze ku-mute instrument fulani.uingize nyingine.Mfano,uweze kuubadilisha muziki fulani uwe tofauti na ule orignal.
oh afu nlikua sijasoma swali zima la mtoa mada. Kutoa voice na kubak na instrument ni ki2 nxt 2 impossible, ila hio software ni safi. AUDACITY inaweza kupunguza vocals 2 some extent, pia inapunguza other noises kwenye audio ukipenda. So bado nai recommend
Nope! Mtafute original Produce akupe Project files.
Unaweza ku diminish some frequencies using some DSP ktk Digital Audio Workstations lakini kuondoa hauwezi.
DAW Fruity Loops Studio, Sonar Cakewalk, Cubase, Logic et al
inapatikana torrents lakini mpaka uwe na torrent download ingia Google kisha type torrent download itaidauload hiyo download zipo nyingi kama bitloard utorrent kisha itatumua hiyo download kudownload audiocity ni simple sana jaribu sasa
Mwaka 2004 kuna jamaa alikuwa akicheza music kwenye pc, muda meingine alikuwa ana mute voice anabaki na instruments tu.
Sijajua alikuwa anatumia software gani.
Mwaka 2004 kuna jamaa alikuwa akicheza music kwenye pc, muda meingine alikuwa ana mute voice anabaki na instruments tu.
Sijajua alikuwa anatumia software gani.