mbalamwehu
Member
- Oct 5, 2016
- 64
- 16
Ndio mkuu, uvivu wa kufikiria ulitupa jina hilo, ukizingatia elimu st kayumbaWe good sofa store??!!
Mkuu hizo ni chache miongoni mwa nyingi zinazopatikana, mteja anachagua anachotaka, tunachoweza kukupa sisi ni ushauri na kazi bora mkuu, karibuni sanaHizo za kwanza kama una mtoto ana epilepsy anaweza kuanguka.
Sawa mkuuNdio mkuu, uvivu wa kufikiria ulitupa jina hilo, ukizingatia elimu st kayumba
Haisumbui, nasema tu.Mkuu hizo ni chache miongoni mwa nyingi zinazopatikana, mteja anachagua anachotaka, tunachoweza kukupa sisi ni ushauri na kazi bora mkuu, karibuni sana
Hawa jamaa naona kama wana import, tofauti na sisi made in bongo, kwa materials hata hizo zakwao tunatumia, nimeona kashmir leather, pvc na pu ambazo hata hapa tunazo na zina ubora piaHaisumbui, nasema tu.
The style is eclectic if not interestingly eccentric.
Ila mimi nimetoka kumwaga kama $ 5,000 juzi kwa makochi manne, premium leather, ya living room kubwa na ndogo.
Kutoka Raymour and Flanigan.
Furniture for Every Room | Affordable Quality Home Furniture & Mattresses | Raymour and Flanigan Furniture & Mattresses
Hiyo si bongo mazee. Unyamwezini hapo.Hawa jamaa naona kama wana import, tofauti na sisi made in bongo, kwa materials hata hizo zakwao tunatumia, nimeona kashmir leather, pvc na pu ambazo hata hapa tunazo na zina ubora pia
Mkuu weka picha za makabati ya nguo basiMkuu hizo ni chache miongoni mwa nyingi zinazopatikana, mteja anachagua anachotaka, tunachoweza kukupa sisi ni ushauri na kazi bora mkuu, karibuni sana
Hicho kinakuwa chako kwa 500000 boss, karibuHicho kitanda hapo juu nimekipenda ni shilingi ngapi! Sio hcho cha chuma
Mipigo hiyo inatolewa bila shida mkuu, japo tupo 3rd world country lakini tunaweza kutoa vitu bora sana, imani yako kwetu ndio inahitajika mkuu, and i swear hutaenda kwa watasha tenaHiyo si bongo mazee. Unyamwezini hapo.
Unaweza kuangalia style ukatoa mipigo kama yao?
Naweza kupata interest ya kuwanunulia huko bongo.
AsanteHicho kinakuwa chako kwa 500000 boss, karibu