Clearing Agent New Member Joined Jun 28, 2019 Posts 2 Reaction score 92 Sep 9, 2019 #1 Nauza sofa set used za kisasa na ziko kwny hali nzuri, kochi 2 za kukaa watu wawili na moja ya mtu mmoja. Bei 350k maongezi yapo pia. Napatikana dar es salaam kijitonyama ukizipenda piga/text 0653953900 tumalize biashara.
Nauza sofa set used za kisasa na ziko kwny hali nzuri, kochi 2 za kukaa watu wawili na moja ya mtu mmoja. Bei 350k maongezi yapo pia. Napatikana dar es salaam kijitonyama ukizipenda piga/text 0653953900 tumalize biashara.
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,378 Sep 9, 2019 #2 Nikajua shati ..kumbe sofa.
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,523 Reaction score 14,002 Sep 10, 2019 #3 Hizo sofa hazijatumika kupigia show za kibabe? Kama ndio mara ngapi na ndomu zilitimika au kavu kavu? Na kama kavu kavu why kwanini wajameni?
Hizo sofa hazijatumika kupigia show za kibabe? Kama ndio mara ngapi na ndomu zilitimika au kavu kavu? Na kama kavu kavu why kwanini wajameni?
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,827 Sep 10, 2019 #4 Hiyo fashion naona kama haivutii mkuu
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,523 Reaction score 14,002 Sep 10, 2019 #5 Clearing Agent said: [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] show zilifanyika ila sio za kibabe c unajua wanaume wa dar tumeshindwa mpa ata mimba wema sepetu Click to expand... Mleteni huku Koromije tumsukumie mimba ndani.
Clearing Agent said: [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] show zilifanyika ila sio za kibabe c unajua wanaume wa dar tumeshindwa mpa ata mimba wema sepetu Click to expand... Mleteni huku Koromije tumsukumie mimba ndani.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,877 Sep 11, 2019 #6 Ngoja wateja waje... Cc: mahondaw
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,768 Reaction score 15,759 Sep 11, 2019 #7 Mr. MTUI said: Nikajua shati ..kumbe sofa. Click to expand... Sijui mbunifu ni fundi au mwenye mali maana kaweka rangi za kishamba kweli kweli
Mr. MTUI said: Nikajua shati ..kumbe sofa. Click to expand... Sijui mbunifu ni fundi au mwenye mali maana kaweka rangi za kishamba kweli kweli
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,378 Reaction score 24,112 Sep 11, 2019 #8 Rangi za mbagala hizo, ila hizo kapeti na sofa zinaenda, utapata mteja usijali
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,827 Sep 11, 2019 #9 Clearing Agent said: Wewe unavutiwa na fashion ipi? Click to expand... Hii hapa
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,694 Reaction score 24,738 Sep 11, 2019 #10 Pazia how much Clearing Agent said: Nauza sofa set used za kisasa na ziko kwny hali nzuri, kochi 2 za kukaa watu wawili na moja ya mtu mmoja. Bei 350k maongezi yapo pia. Napatikana dar es salaam kijitonyama ukizipenda piga/text 0653953900 tumalize biashara. View attachment 1202214View attachment 1202215View attachment 1202217View attachment 1202218 Click to expand...
Pazia how much Clearing Agent said: Nauza sofa set used za kisasa na ziko kwny hali nzuri, kochi 2 za kukaa watu wawili na moja ya mtu mmoja. Bei 350k maongezi yapo pia. Napatikana dar es salaam kijitonyama ukizipenda piga/text 0653953900 tumalize biashara. View attachment 1202214View attachment 1202215View attachment 1202217View attachment 1202218 Click to expand...