Jeny faraji
Senior Member
- Jan 20, 2018
- 164
- 34
Kama unaweza pata sofa Kwa elfu 15 bac kwel hyo ni ef 15 kama ulivoonaHiyo bei yake ni elfu15 au ni laki na hamsini?
Wewe una shingapHio bei mhhh!!! Labda umuuzie Edward moringe lowasa
Nataka kama icho ila sitaki kiwe cha Ngozi nina 150000.
SawaKitu kiti kizuri bei ya kawaida, sema watu glisi nayo imepanda bei,hawadharau ila wanaku-challenge tu . Usimaindi.
Makubwa! Unataka chaaje? Sina kingne ndo ninacho icho icho tuNataka kama icho ila sitaki kiwe cha Ngozi nina 150000.
Oh, kumbe! Ndo thaman yake hyo, wewe ulitaka iwe shngapMbona bei ndogo hivyo???
ChuiSorry,
Ni Ngozi ya Mnyama gani iliyotumika hapo?
Manake wengine tuna miiko yetu.
Mim nipo dar, unataka delivery kwa mkoa ganDelivery unafany kwa dar ipo 70k
Mkuu kwa model ninayoiona litakuwa la urithi sikushauri kuuza.