Habari
1. Sofa hizi nimezitumia mimi mwenyewe
2. Ni set ya watu 3 (3 seaters), watu 2 (2 seaters) na mtu 1 (one seater)
3. Sofa zipo sinza, Dar es Salaam.
4. bei ni sh. 500,000/-
Mwenye kuhitaji ani PM
Karibu
Hiyo ya watu wawili chukua 150
Ni material gani na naomba kwa 350000
ni material gani imezitengeneza kama leather aina gani?
Kusafirisha hadi Moshi kunaweza nigharim Tsh.ngapi?
bei sio mbaya, bahati mbaya umechelewa kuweka tangazo last week nimenunua za laki 8,
Hiyo ya watu wawili chukua 150
bei sio mbaya, bahati mbaya umechelewa kuweka tangazo last week nimenunua za laki 8,
sinza sehemu gani madukani kumekucha au pelestina
Endapo bado zipo naomba kuja kuziona