Jamani hivi Afisa usitawi wa jamii ni mtu aliyesoma Sociology na social works tu?? je waliosoma Psychology hawawezi kua maafisa Ustawi wa Jamii??
Naomba kuwasilishaa
Sio kweli havifanani but Kuna kozi mbili au tatu tunasoma woote...social welfare officer ni yule aliesoma social work...hao wwngine wanababatizwa tu...kwa sababu ile misingi ya social welfare hawaisomi