Kwa mfano....unatumia gari ya kawaida ambayo kiukweli haina kasoro kubwa sana zaidi ya wewe kunambia eti "hii gari imekaa kiume zaidi nataka ninunue ingine ya kifeminine...mimi nakushauri kua hiyo sio priority kwa maisha ya sasa kwani una vitu vingi vya kufanya...hata kiwanja hauna...kama hii gari wahisi kukusumbua...tumia hela kidogo kuirekebisha iwe katika hali nzuri kwani kwa maisha ya sasa gari sio show off ni facility kama huduma zingine...wewe unang'ang'ania kuiuza na kubadili je waona hii imekaa vizur kweli??
i am flexible...bei ilouzwa na bei iloongezwa ni sawa 45% ambayo m sure kama tungeamua kukaza mikanda angejipatia kaplot kake kazuri.....ambako daily kangekua kana appreciate badala ya kudepreciate kma ilivyo kwa magari..Kama imeuzwa na pesa iliyopatikana umenunua gari nyingine kuna shida gani? Hata kama umeongezea mil. 1 katika pesa hiyo, can 1mil build a house? kuwa flexible na wewe!
Mkubwa...siwezi sema 100% kua mimi tu ndie mwenye mapungufu kwenye hili...hata yeye pia amechangia yooote na analijua hilo...hii si mara ya kwanza kwa yeye kuzuzuliwa na mwanamme mwingine..ishatokea mara kadhaa na nkasahau nkasemehe kwani ukipenda boga upende na ua lake...lakini nahis hii tabia ina escalate zaidi..pili kama mimi nlimkosea...je ni yapi yasiyo sameheka katika dunia hii hasa pale unapojua mtu anania ya dhati na wewe???
kwa bahat mbaya unahitaji psychologist,sisi wenye taaluma hiyo ila sio mapsychologist acha tutulie
Sasa wewe unafikiri nini ufanye? Umejua ana mtu mwingine na amekwambia umuache kwanza, huwezi mlazimisha so nurse your heart break halafu move on!
Mimi sioni tatizo, maumivu ni lazima; lkn hayawezi kukuua, ukishindwa basi end ur miserable n sad life!
Mambo, uliweza pata suluhu jana???
Mkubwa...siwezi sema 100% kua mimi tu ndie mwenye mapungufu kwenye hili...hata yeye pia amechangia yooote na analijua hilo...hii si mara ya kwanza kwa yeye kuzuzuliwa na mwanamme mwingine..ishatokea mara kadhaa na nkasahau nkasemehe kwani ukipenda boga upende na ua lake...lakini nahis hii tabia ina escalate zaidi..pili kama mimi nlimkosea...je ni yapi yasiyo sameheka katika dunia hii hasa pale unapojua mtu anania ya dhati na wewe???
Mimi siwezi kuanza kumlaumu
huyo binti na kusema hakufai,kwanza wewe umekiri unamapungufu na ukataka
asahau hayo mgange yajayo,sasa ni yapi hayo unayotaka asahau?nanusa
harufu ya uozo wako,inaelekea kuna kitu umemfanyia binti wa watu na
amekuwa na msimamo na maisha yake kwa kujua humfai ndio unajofanya roho
inakuuma sana.jieleze hasa ulimfanya nini mpaka akaamua kwenda zake,sio
kujitetea tu na kujifanya unaonewa..