hiyo namba 1 moja kwangu ni hapana,,,
kwa nini utahitaji data zote hizo za mteja,unataka kuzifanyia nini?
yani unachukua muda,tarehe,aina ya chakula,jinsia,na ikiwezekana na namba pamoja na email,,,hizo details ni too much,,
kwa sisi wanazi wa infosec,hiyo ni hapana kupitia hizo details unaweza kumjua mteja wako kila kitu,,
ambazo hizo data unaweza kwenda kuziuza,,,,,,,