Samahani jina lako lina sanifu mahali unapotoka mkuuHii Sio TCRA baba Hawa ni wenyewe huko huko majuu.
Wahanga buana huwa wana.............Mbona unataka kuleta taharuki isiyokua na ulazima?
Ni wapi wamesema simu ambazo haziko certified zitafungiwa?
View attachment 722201View attachment 722203
HahahahahhWahanga buana huwa wana.............
We unaona hilo nalo big deal?Wahanga buana huwa wana.............
Na hili nalo ni siasa duh!Nilidhani baba na mwana wamekaa wakataka kufanya hivyo....... PHD ya uongo na cheti cha kufoji sitaki maswali