Wadau mimi ni mtumiaji wa samsung ila nimekutana na kadhia ya kufaa kwa kioo mara kwa mara yaani haizidi simu ikifika mwaka lazima kioo kife labda kwa matumizi yangu inawezekana ikawa sababu ya kuua kioo... sijawahi kutumia kampuni nyengine... msaada kampuni gani ya simu itanifaa??
Sent using
Jamii Forums mobile app