Traviana Tray
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 546
- 457
Habari Zenu??smart phone inauzwa Ni ITEL ipo vizuri kabisa Bei ni Tsh 150,000/=ila maelewano yapo kidogo.Una ruhusiwa kuijariibu siku ya kuifata, Kama upo tayari ni pm direct.nipo DSM.
paulina tumsifu yesu kristu,simu naipenda sema njuruku sasaHabari Zenu??smart phone inauzwa Ni ITEL ipo vizuri kabisa Bei ni Tsh 150,000/=ila maelewano yapo kidogo.Una ruhusiwa kuijariibu siku ya kuifata, Kama upo tayari ni pm direct.nipo DSM.
Model 1408wanakuja sema ungeweka na specification zake au ni ITEl gani
wanakuja sema ungeweka na specification zake au ni ITEl gani
Amina...una ngapi?paulina tumsifu yesu kristu,simu naipenda sema njuruku sasa
40,000 iyo kimeoDada yangu kweli uko serious hizi simu dukani ni 115000 tena sijui kwa sasa zimepungua mpaka bei maana used mpaka 40,000 kupatana zipo.Haya dada kila la kheri.