Smart phone gani nzuri na ya bei nafuu?

mkuu hii IT Depot iko wapi?

Nimepata moja kutoka kwa It Depot G20 349,000 ukiwapigia wanakuletea mahali ulipo na unapa waranti ya mwaka touch screen yake ni capacitive... na dual sim.. simu kali mkuu
 
G20 Smartphone

3G Smartphone with Dual SIM

I like that phone. Will it work with ZANTEL SIM?
 
Binafsi Naunga mkono hoja
Huu ni ushauri makini na vigezo vyote vya kitaalamu vimezingatiwa...... .

SIjui kwa nn button ya like haipo kwangu
 
Mkuu hizi zinapatikana wapi? Nahitaji fasta
 
Hapa bongo, click more kisha order kuna namba ya simu na contacts nyengine. Jamaa wanakuletea hadi mlangoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…