Hawa jamaa walishanipa mwaliko nikaukubali ili nipate kujua 'products' zao na namna ya kufanya nao biashara.
Wana bidhaa za huduma 'Service' mbalimbali lakini ni zinazohusu Elimu na ujasiriamali wa bidhaa mbalimbali ambazo sikuzisoma zaidi kwani nilikuwa niko 'interested' zaidi na zile zilizohusu elimu.
Mtindo wa malipo unategemea utendaji kazi wako.Unapowapelekea wateja wengi zaidi ndivyo unavyolipwa ' i.e on Comission' haina tofauti sana na biashara za mtandao nyingine unazozijua. Ila km unaweza soma taarifa zao zaidi ili ujue namna ya kufanya nao kazi.
Kila la kheri.