Mi nikafikiri mnaongelea 70% alcohol by volume Puerto Rican rum.
Kunywa maji machafu yasiyochemshwa, ngono zembe au kulala bila chandarua vinaweza kukatisha maisha kwa miaka 50.
Tunapoongelea sigara moja inaondoa dakika ngapi tusisahau na hivi vingine.