OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Lowasa huyu huyu fisadi au mwingine?????

Ni fisadi ndiyo, to be specific ni mwizi..!Mkuu punguza wivu,huko unakoelekea utamzidi hata mwandani wako.Lowassa anasubiriwa na watanzania,ni suala muda tu
Jina lako linaonesha wazi kwamba unamtaka Lowasa kwa kuwa ni mmasai mwenzio! Upuuzi mtupu!
Hahahahaha.kwamba vitaitishwa vikao kwa nini anatrot.hahahahahaa mbavu zanguBaadhi ya slogan ambazo mara nyingi mh. Lowassa amekuwa akizitumia nibpamoja na,
1. Safari ya matumaini
2. Simama na uhesabiwe
3. Tutalivuka daraja
Ni wazi mtakumbuka tokea Lowassa ameanzisha slogan hizo amekuwa akiandamwa na wapinzani wake ndani ya chama mpaka kupelekea kusimamisha asishiriki kazi zozote za jamii wakiamini kuwa Lowassa anajijenga kisiasa.
Mtakumbuka hakuna mahali yeyote Lowassa alipowahi kutamka kwamba atagombea urais wa nchi lakini amekuwa akifuatiliwa kwa kasi ajabu kwani ameonekana nyota yake inawaka mpaka inamulika nchi za jirani,wako wengi wameshatangaza kuwa watagombea urais ndani ya CCM lakin hasakamwi kama Lowassa ambavyo anasakamwa,mwaka mpya Lowassa aliwaumiza zaidi wapinzani wake pale Monduli alipo asisi slogan yake simama na uhesabiwe,safari ya matumaini,hizi zillipelekea mpaka kuitishwa kwa dharura kamati ya maadili kwaajili ya kumjadili Lowassa na wengine ambao kimsingi mlengwa alikuwa ni Edward Lowassa.
Cha ajabu na cha kushangaza Lowassa alifungiwa na akaheshimu adhabu aliyopewa na chama lakini cha kushangaza ukimya wake umekuwa unakitesa chama wakijaribu kufikiria ni njia gani watatumia kumdhibiti.
Niwashauri tu CCM mpaka sasa hivi Lowassa hamtamuweza kaeni naye chini mfanye naye mazungunzo kwani mnaendelea kujidhalilisha kila panapo kucha,ni hivi majuzi tu Lowassa ameonekana viunga vya mji wa Dodoma akifanya mazoezi lakini naamini sasa hivi katibu mwenezi wa CCM Nape ni anajiandaa kutoa kauli juu ya mazoezi anayofanya Lowassa Dodoma.
Sisiemu kwa jinsi lowassa alivyowazibia pumzi Muombeni sasa Mungu amchukue Lowassa hakuna ujanja tena wa kumzuia.ila naamini kabla hamjamaliza kusali atawachukuwa kabla hajamchukuwa lowassa.kwani anatambuwa Lowassa ndio tegemeo lililo bakia
Baadhi ya slogan ambazo mara nyingi mh. Lowassa amekuwa akizitumia nibpamoja na,
1. Safari ya matumaini
2. Simama na uhesabiwe
3. Tutalivuka daraja
Ni wazi mtakumbuka tokea Lowassa ameanzisha slogan hizo amekuwa akiandamwa na wapinzani wake ndani ya chama mpaka kupelekea kusimamisha asishiriki kazi zozote za jamii wakiamini kuwa Lowassa anajijenga kisiasa.
Mtakumbuka hakuna mahali yeyote Lowassa alipowahi kutamka kwamba atagombea urais wa nchi lakini amekuwa akifuatiliwa kwa kasi ajabu kwani ameonekana nyota yake inawaka mpaka inamulika nchi za jirani,wako wengi wameshatangaza kuwa watagombea urais ndani ya CCM lakin hasakamwi kama Lowassa ambavyo anasakamwa,mwaka mpya Lowassa aliwaumiza zaidi wapinzani wake pale Monduli alipo asisi slogan yake simama na uhesabiwe,safari ya matumaini,hizi zillipelekea mpaka kuitishwa kwa dharura kamati ya maadili kwaajili ya kumjadili Lowassa na wengine ambao kimsingi mlengwa alikuwa ni Edward Lowassa.
Cha ajabu na cha kushangaza Lowassa alifungiwa na akaheshimu adhabu aliyopewa na chama lakini cha kushangaza ukimya wake umekuwa unakitesa chama wakijaribu kufikiria ni njia gani watatumia kumdhibiti.
Niwashauri tu CCM mpaka sasa hivi Lowassa hamtamuweza kaeni naye chini mfanye naye mazungunzo kwani mnaendelea kujidhalilisha kila panapo kucha,ni hivi majuzi tu Lowassa ameonekana viunga vya mji wa Dodoma akifanya mazoezi lakini naamini sasa hivi katibu mwenezi wa CCM Nape ni anajiandaa kutoa kauli juu ya mazoezi anayofanya Lowassa Dodoma.
EL 4 life,Ngoja vijana wa WAMA waje uwasikie