Sleeping at the Airports!

Nimekumbuka siku moja ilishawahi kunitokea!
 
Yaani kulala safarini kama humu yataka moyo tena uunawakuta wengine wanakoroma kabisa kwa utamu wa usingizi...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Da hii inikuta JKNA nilitua saa 11 asubuhi,ndege ya kunipeleka Dar inaondoka saa 4 usiku.Sinto sahau kwa kweli
 
Yaani hizo style zao za kulala duh hatar tupu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Yaani kulala safarini kama humu yataka moyo tena uunawakuta wengine wanakoroma kabisa kwa utamu wa usingizi...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Wacha mchezo "ubwabwa wa mtoto mtamu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…