Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,657
kwanini maneno haya usingemwambia hakimu aliyemvua Lema ubunge?Siasa zinatumaliza kiuchumi watanzania jamani!Chonde chonde Lema kata rufaa uokoe mabilioni ya walipa kodi!Hebu angalieni matatizo yalivyotuzunguka jamani,umeme,maji,huduma za afya mbovu!CDM ni chama kinachojali matatizo ya wananchi pls tuoneeni huruma walalahoi!!
Docta njoooooo Arusha tukupe ubungeee, wewe ndiye mbunge mtarajawa,tunakupenda,pamabana baba.
Lema antosha kuwagalagaza ccm.
Docta njoooooo Arusha tukupe ubungeee, wewe ndiye mbunge mtarajawa,tunakupenda,pamabana baba.
mkuu rufaa inapoteza muda
na inachelewesha haki, tunarudi uwanjani kupambana upya na Lema ndo
chaguo.
Docta njoooooo Arusha tukupe ubungeee, wewe ndiye mbunge mtarajawa,tunakupenda,pamabana baba.
Docta njoooooo Arusha tukupe ubungeee, wewe ndiye mbunge mtarajawa,tunakupenda,pamabana baba.
wewe ni mpuuziAcha bangi na ukome kumdhalilisha Rais wa Watanzania.
Peleka u.s.enge huko, CCM watoe rushwa uwaombe chadema kupoteza muda, huna akili wewe, yani jinsi nmepandwa na hasira ngekuwa npo karibu na wewe...,
kwanini maneno haya usingemwambia hakimu aliyemvua Lema ubunge?