WAKATI WENZETU WAMEANZA KUTENGENEZA SKYSCRAPPERS AMBAZO ZITAKUWA NA ROBOTS SISI BADO KUTOKA POSTA KWENDA UBUNGO INACHUKUA MASAA 3.HIVI KUNA SIKU ATOKEA MTUME AIKOMBOEE NCHI HII.
Tutafika kweli huko wakati kila anayepewa madaraka anachukua chake mapema na kujilimbikizia ndugu yanguuu...Wea cha tuu,labda mwaka 3500.Tehheee..!!:shock: