Skype Phone for sale

Skype Phone for sale

emilwayne

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
265
Reaction score
19
Natafuta simu yoyote yenye uwezo wa kuingia skype,iwe mpya or used my no is 0713079282
 
Mimi nilijua hiyo Simu unaiuza kumbe unatafuta unataka kununua, Lugha ya Malikia tunaipenda sana lakini inatuumbua
 
Hahahahaaaa hizi lugha za watu zinatuchanganya sana.
 
Namimi nimeingizwa mkenge na jamaa kuja kufungua thread yake haraka nione hiyo brand ya skype, lol ndo nakuta kumbe yeye ndo anahitaji! Pamba....fuuUuuuuuuuuuuu!
 
Nunua simu inayotumia android OS yoyote na utainstall hiyo application for free, hapo unaweza piga simu na mambo mengine yote, lakini hakikisha mahalii ulipo unapata 3G ili ku-improve sound quality. ila skype credit inajitegemea!
 
Nina Sony Ericcson Experia Arc's ina hiyo huduma ya skype bei yake dollar 1700
 
Ipo nokia C7 almost brand new 460,00 ni PM tufanye business
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom