Midozenj01 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2014 Posts 421 Reaction score 422 Sep 27, 2020 #1 Assalam alaykum... Moja kwa moja waungwana ningependa kuuliza kwa hapa Dar es Salaam 1 bag ya skimmed milk powder (25Kg) iwe LATO au NIDO au yoyote yale ni bei gani...? Na naweza kupata wapi hapa mjini? Natanguliza shukrani
Assalam alaykum... Moja kwa moja waungwana ningependa kuuliza kwa hapa Dar es Salaam 1 bag ya skimmed milk powder (25Kg) iwe LATO au NIDO au yoyote yale ni bei gani...? Na naweza kupata wapi hapa mjini? Natanguliza shukrani