Size ya maumbile ya kiume na mchango wake

uzuri wa kubwa hata kama mmiliki wake ni mbumbumbu unaweza fanya mambo ukaridhika ila kibamia halafu akawa mtu wa pupa unatoka kapa
 
Usiogope ni ufundi wako tu, unaweza ukawa nalo kuubwa kumbe bure kabisa bora hata usingekuwa nalo.
 
Mkuu;
Tatizo lako ni kusikiliza maneno ya mitaani. Huyo uliye naye umemuanza wewe au ulimkuta used? Kama ulimkuta used hata ungelifanya nini kila siku utakuwa una hofu kuwa huenda hujamkuna.
Kama umeanza wewe, hatajua size nyengine atajua zote ziko hivyo.
 
Hofu mbaya sana!!! mtu yuko siriasi anachukua futikamba kupima urefu wa dushelele!!unataka kuishonea nguo?
 
Polee sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…