Jaman mimi sio mgeni saana ila kiukweli kuna mambo siyajui humu..
1.Ikiwa nimetoa thread yangu na member wakachangia ni jins gan nitaiona tena hyo thread ili nijibizane na member?
2. Ikiwa nataka kucoment kwa picha nifanyaje?? Maana kuna kpnd niliapload pcha kwenye coment lakin ckuiona
3.Ikiwa nataka kum PM m2 nifanyaje?? Hata hyo PM yenyewe cjui maana yake nielekezeni..
4. Ikiwa na2mia cm nitawezaje kuweka alama mbalimbali km nizionapo ninapokua na PC?
5. Ikiwa post yako imeondolewa au kuhamishwa jukwaa lingine utapataje taarifa??
6.Jee kuna jins unaweza fanya mtu akaona ume like post yake bila kusema chochote?
7.Kuna baadhi ya post naziona zinawekwa rangi mf.. Red,blue au ku bold in black.. Unafanyaje?
Ni hayo tu Wakuu naombeni msaada..
Naipenda sana JF ila nashndwa kuitumia
Majibu yako yapo katika link hapo chini, kwenye No5 ilikujua kuwa post hako imehamishiwa jukwaa jingine utaona imeanza na neno Moved: na ukiibofya itafunguka lakini itakua katika jukwaa ilipo hamishiwaJaman mimi sio mgeni saana ila kiukweli kuna mambo siyajui humu..
1.Ikiwa nimetoa thread yangu na member wakachangia ni jins gan nitaiona tena hyo thread ili nijibizane na member?
2. Ikiwa nataka kucoment kwa picha nifanyaje?? Maana kuna kpnd niliapload pcha kwenye coment lakin ckuiona
3.Ikiwa nataka kum PM m2 nifanyaje?? Hata hyo PM yenyewe cjui maana yake nielekezeni..
4. Ikiwa na2mia cm nitawezaje kuweka alama mbalimbali km nizionapo ninapokua na PC?
5. Ikiwa post yako imeondolewa au kuhamishwa jukwaa lingine utapataje taarifa??
6.Jee kuna jins unaweza fanya mtu akaona ume like post yake bila kusema chochote?
7.Kuna baadhi ya post naziona zinawekwa rangi mf.. Red,blue au ku bold in black.. Unafanyaje?
Ni hayo tu Wakuu naombeni msaada..
Naipenda sana JF ila nashndwa kuitumia
bwana
Pompoo maswali yako yote yana majibu, ukienda
jukwaa la science stuffs, kuna bandiko liko sticky utapata majibu yako
yooote
labda swali la 5.
kama huoni bandiko lako ili kuthibitisha limefutwa au limeamishwa basi
muulize moderator(kiranja) wa jukwaa husika, majina yao huonekana chini
ya jukwaa husika, kama huoni jina unaweza kumuandikia
Moderator au robot
Invisible kwa msaada zaidi
Majibu yako
yapo katika link hapo chini, kwenye No5 ilikujua kuwa post hako
imehamishiwa jukwaa jingine utaona imeanza na neno Moved: na ukiibofya
itafunguka lakini itakua katika jukwaa ilipo hamishiwa
for
JF MOBILE USERS