Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 185
thank youPole ndugu yangu ila atabakia ndugu yako tu hata akufanyie nini, cha muhimu wewe shika hamsini zako namaanisha ignore him big halafu yeye akiona havikuumi wala kukugusa ataacha lakinin kila siku ukionekana na mawazo na huzuni unampa ushindi dont mind him, kwani hamna watu wengine wanakupenda eti? kwani wanajf tumesema hatukupendi? dont mind him he is a loser,
barikiwa sana ndugu kwakunipa moyoJust ignore na songa mbele na maisha yako I am facing the similar case tena mi wa kwangu kanizidi almost twenty years nimeamua kum ignore na kusonga mbele na maisha yangu ! Ukishindana naye unapoteza Muda! hata akuombee mabaya kiasi gani maisha yako yataenda kama Mungu alivyokupangia! Nimesemewa mabaya mengi sana na huyo ndg yangu lakini anashangaa kilsa siku napanda juu tu hata sishuki! Kikubwa mtazame Mungu na umuombe akujalie aliyokupangia maishani mwako! Na huyo ndg yako muombee mema tu Mungu atashughulika naye! I am telling you this from my own experience nimemuona Mungu ktk namna ya tofauti maishani mwangu na amemuaibisha huyo ndg yangu mno!
thank you! Hilo nenomradi umekwisha mjua tabia zake, muepuke na kaa nae mbali, asijue lolote khs maisha yako....kumbuka mbwa ukimjua jina haiusumbui..... Heri adui unayemjua utajua jinsi ya kumuepuka......
nashukuru kwa ushauri mzuri my dear nikweli anayoroho mbaya sanaKwanza huyo ndugu yako anaroho mbaya,pili unafikiria sana anayokufanyia na dizaini kashaujua udhaifu wako ila dawa yake ni ndogo sana kaa kimya usimjibu chochote hata aongee nini na wala usiende kulalamika kwa wanaomsikiliza upuuzi wake yani jitie kama hayuko katika kichwa chako endelea na mambo yako kimya kimya uone kama ataongea maisha yake yote maana anayekusema kwa watu anakuogopa na unachazaidi ambacho anakihofia kwako sasa the best way kupunguza machungu yake ni kukufanya ujione hufai, usiomuogope eti kisa anakuombea mabaya yeye si Mungu hana uwezo wa kukulaani kwa chochote muombe Mungu na utafanikiwa na uombe Mungu zaidi siku utakayofanikiwa aone mafanikio yako sababu mama yangu mzazi na rafiki yangu walifanyiwa the same thing na ndugu zao wa damu mpaka wakatengwa na ukoo mzima kwa chuki ya mtu mmoja ila ukimya uliwasaidia sitaki kusema wakati Mungu alivyofungua njia ukweli ukawa hadharani na walisamehe so jifunze kusamehe na kusahau.
Kweli mfufua nyuzi😄Mmefikia wapi?
Si nikajua huu uzi ni wa leo! nimerudi kuangalia tarehe, dah mfufua nyuzi😂🙌Kweli mfufua nyuzi😄