Sitta awasimamisha Watendaji watano TRL

Sita chapa kazi, baadhi yetu midomo hata kusafishwa na maji kwa kusukutua hawathubutu, imevunda hata akili zao zipo hivyo.
Mabadiliko tunayo yataka ndo hayoooo, hakuna kumwonea haya mzembe ye yote, timuatimua hadi tufike tuendako.
 
Sita&co(ccm) wanatulaghai gawana lolote. Mbona aliyeleta hayo mabehewa hafikishwi mahakamani au kuwekwa kizuizini. Kwani ile sheria ya kuzuia wakora imeshafutwa?
 

Embu tusaidieni huyu aliyeibua hilin sakata la mabehewa feki yupo hai ama manake kamwagia kitumbua cha watu mchanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…